Mkuu wa Wilaya ashuhudia nyumba zikichomwa moto
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara, Chelestino Mofuga leo amesimamia shughuli ya kuteketezwa kwa moto kwa nyumba sita wilayani humo kwa kukaidi agizo la serikali la kuondoka ndani ya siku saba katika maeneo ya Hifadhi ya Bonde la Yaeda Chini.