Madiwani CHADEMA na CCM wazichapa hadharani

Picha ya tukio wakati ngumi zikiendelea ukumbini

Katika hali isiyokuwa ya kawaida ngumi zimerindima leo Oktoba 3, 2018 kwenye ukumbi wa Anatoglo uliopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam ambako umefanyika uchaguzi wa Naibu Meya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS