Fahamu ubabe wa nahodha wa Taifa Stars
Moja ya nyota wenye uwezo mkubwa wa kuwa viongozi kwenye soka la Tanzania ni kiungo wa zamani wa Azam FC, Himid Mao, ambaye amekuwa mbabe wa kitambaa cha unahodha kuanzia timu za vijana hadi sasa akiwa nahodha msaidizi wa Taifa Stars.