Tutamkamata Maalim Seif - Magdalena Sakaya
Mbunge wa jimbo la Kaliua kupitia tiketi ya CUF, Magdalena Sakaya amesema kuwa endapo Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamadi atajaribu kufika katika jimbo la Liwale kwa nia ya kumnadi mgombea bila kufuata utaratibu kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama hicho-