"Mo atapatikana akiwa mzima" – Manara

Msemaji wa klabu ya soka ya Simba ambayo Mo Dewji ni mmoja wa wenye hisa,Haji Manara, amesema kwamba amezungumza na familia ya Mo Dewji na kuwataka wanasimba watulie, kwani wana amini atapatikana akiwa salama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS