Kutekwa kwa MO Dewji, Makonda afunguka hili Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, ametaka kufungwa kwa kamera katika maeneo yote jijini Dar es salam, ili kupata msaada mkubwa yanapotokea matukio ya kiuhalifu. Read more about Kutekwa kwa MO Dewji, Makonda afunguka hili