Mnyoo wa 15cm watolewa jichoni mwa binadamu Jopo la madaktari nchini India wamefanikiwa kuondoa mnyoo mwenye urefu wa Sentimita 15 kutoka kwenye jicho la mwanaume mmoja nchini humo kufuatia oparesheni iliyofanyika. Read more about Mnyoo wa 15cm watolewa jichoni mwa binadamu