Fahamu vitu vivyopelekea kuharibu macho yako
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kupitia kwa Kaimu Meneja wa Mpango wa Huduma za Macho, Dkt. Bernadetha Shilio, imeeleza kuwa ongezeko la watu wenye matatizo ya macho nchini ni kutokana na matumizi ya vitu vingi, vikiwemo rangi na kope za bandia.