Mjadala ulivyotawala uteuzi wa Solskjaer Man U

Ole Gunnar Solskjaer

Klabu ya Manchester United ambayo jana ilimfuta kazi Jose Mourinho leo imemtangaza mchezaji wake wa zamani Ole Gunnar Solskjaer, kuwa kocha wa muda hadi mwisho wa msimu wa 2018/19.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS