Kikosi kazi cha Simba kilichopaa nchini Zambia

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa Uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA) kabla ya kuanza safari

Kikosi cha Simba kimesafiri leo alfajiri kuwafuata Nkana Red Devils ya nchini Zambia tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya pili ya Klabu Bingwa Afrika wikiendi hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS