"Demokrasia sasa imehamia Bungeni" - Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema demokrasia kwa sasa imehamia Bungeni kuwa hivyo wabunge mbalimbali watumie jukwaa hilo kueleza madai yao.