Takukuru yaeleza inachojivunia kukamata vigogo
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imedai katika kipindi cha hivi karibuni taasisi hiyo imefanikiwa kushinda kesi zake mbalimbali tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma ambapo kesi nyingi zilikuwa ikipigwa chini.