Magereza kutumia wafungwa kutekeleza agizo la JPM
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine Kasike amewaagiza wakuu wa magereza kuhakikisha wanatekeleza agizo la Rais John Magufuli la ujenzi wa nyumba za askari wa jeshi hilo nchini kote kwa kutumia nguvu kazi ya wafungwa waliopo magerezani.