Lugola atumbua Makamanda watatu, Dar na Arusha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola . Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametengua uteuzi wa Makamanda wa Polisi katika mikoa 3 ya kipolisi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo makamanda hao kushindwa kutekeleza majukumu yao. Read more about Lugola atumbua Makamanda watatu, Dar na Arusha