Zao la Korosho lapata mnunuzi mpya

Balozi wa Algeria nchini, Saad Belabed (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Damas Ndumbaro

Huenda kizungumkuti cha zao la Korosho nchini kikamalizwa kabisa, baada ya serikali kutangaza kupatikana kwa soko jipya la zao hilo nchini Algeria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS