Waliouawa shambulio la 14 Riverside wafikia 15 Eneo la 14 Riverside Jijini Nairobi Tabkribani watu 15 wameuawa na watu wenye silaha waliotambulika kutoka kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab, ambao walivamia eneo la ofisi la 14 Riveside Jijini Nairobi. Read more about Waliouawa shambulio la 14 Riverside wafikia 15