Rais Magufuli afuta maelekezo ya Wizara ya Elimu
Rais John Magufuli amefuta maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya Elimu yanayoelekeza Nembo na Wimbo wa Taifa kutumika kwenye dhifa za kitaifa pekee, ambayo pia yanaelekeza kuwa rangi ya njano katika Bendera ya taifa inatakiwa kuwa rangi ya dhahabu badala ya njano ya sasa.