AliKiba atangaza aina mpya ya muziki ataokuja nao Msanii, Alikiba. Msanii wa Bongo Fleva AliKiba ambaye pia anamiliki lebo yenye wasanii wanne akiwemo mdogo wake Abdukiba amefunguka kuwa wako njiani kuandaa wimbo wenye mahadhi ya mduara. Read more about AliKiba atangaza aina mpya ya muziki ataokuja nao