Rais Magufuli akionesha mfano wa Kitambulisho cha wafanyabiashara wadogo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewaonya wafanyabiashara wadogo Jijini humo kutotumika na wafanyabiashara wakubwa kuchukua vitambulisho, ili wakatumike kuuza biashara zao.