Shibuda adai CCM inadhalilishwa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya Siasa, John Shibuda. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Maswa kupitia CCM, na Maswa Magharibi, John Shibuda amesema Muswada wa Vyama vya Sheria unaotarajia kupelekwa bungeni unaidhalilisha CCM. Read more about Shibuda adai CCM inadhalilishwa