"Upinzani tunachelewa kuungana"- Halima Mdee

Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee.

Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee amesema kuwa vyama vya upinzani vimekuwa vikiungana kipindi ambacho muda unakuwa umeenda na matokeo yake kupelekea kufanya maamuzi ya haraka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS