Walichosema TFF kuhusu Tanzania kufutiwa uenyeji
Baraza la wadhamini wa shirikisho la soka nchini TFF limesema maswala ya kimichezo kupelekwa mahakamani kutasababisha Tanzania kufutiwa uenyeji wa mashindano ya AFCON U17 yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini baadae mwaka huu.

