Hatma ya Halima Mdee na CAG
Januari 21, watanzaia walishuhudia Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad akihojiwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge ikiwa ni utekelezaji wa agizo lilitolewa na Spika wa Bunge, Job Ndugai baada ya CAG kutoa kauli kuwa Bunge ni dhaifu.

