Mzee Chilo na Nikita wafunguka kuhusu Mikalla
Baada ya msanii wa maigizo anayejulikana kwa jina la Mikalla kusambaa picha zake kuzua gumzo mitandaoni kutokana na umbo lake, wengine wakudai kuwa amefariki na sio yeye na wengine wakiamini kuwa ndio mwenyewe.