Makonda atangaza oparesheni kwa wanasiasa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda ameahidi kuwasweka ndani viongozi wa kisiasa ambao wamekuwa na kauli za kejeli na matusi kwa viongozi wa dini kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS