Watupwa mahabusu kwa kumdanganya Naibu Waziri
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso ameamuru kukamatwa na kuwekwa mahabusu kwa Mhandisi wa Maji wa wilaya ya Monduli, Charles Saidea na Mkandarasi kutoka kampuni ya Meru Constructions, Ayo Jeremia kwa tuhuma za kufanya udanganyifu katika miradi wa maji inayoendelea.

