Picha zima la Dodoma FC ilivyotoa rushwa

Jamhuri Julio na moja ya watu wanaotuhumiwa kutoa na kupokea rushwa

Viongozi wa klabu ya Dodoma FC wametuhumiwa kutoa rushwa kwa mchezaji wa Rhino Rangers ya Tabora kwa lengo la kusaidiwa kushinda mchezo wao wa ligi daraja la kwanza kundi D.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS