Wafaransa wa Manchester United waweka rekodi

Wachezaji wa Man United wakishangilia bao.

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuingia kwenye 4 bora ya ligi kuu ya England, kwa mara ya pili msimu huu, ambapo mara ya kwanza ilikuwa ni hatua za mwanzo kabisa mwa msimu, waliposhinda mabao 2-1 dhidi ya Leicester City.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS