Alichokisema 'Tshabalala' kwa waarabu kesho, taifa Mohamed Hussein Nahodha msaidizi wa klabu ya Simba, Mohamed Hussein 'Tsahabalala' amesema alichokigundua katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika ni kuwa kila klabu inashinda michezo yake ya nyumbani. Read more about Alichokisema 'Tshabalala' kwa waarabu kesho, taifa