Mwanafunzi auawa kwa sime kisa pete

Pete.

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kereto Likoko kwa madai ya kumuua Mwanafunzi Samson Conradi anayesoma katika Chuo cha Faraja kwa kumkata na sime shingoni kwa madai ya kushindwa kumlipa fedha ya pete ambayo alikuwa akiuza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS