Kilimanjaro yatoa ulaji tena kwa wateja wake

Baadhi ya zawadi walizojinyakulia washindi wa Droo ya shinda na Maji ya Kilimanjaro.

Kampuni ya Bonite Bottlers, wazalishaji wa Maji ya Kilimanjaro, imetoa zawadi za Pikipiki, Runinga 'TV' na katoni 50 za maji hayo kwa wateja wake, kupitia droo maalumu ya shinda na Maji ya Kilimanjaro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS