Aweka bondi gari yake Yanga ikiifunga Simba Gari Baadhi ya Mashabiki wa Simba na Yanga mkoani Songea wamewekeana rehani gari kwa endapo timu moja wapo itaibuka na ushindi katika mchezo wa leo, unaofanyika Januari 4, 2020. Read more about Aweka bondi gari yake Yanga ikiifunga Simba