'Kuna wakati Mamangu alinisahau' - Country Boy Rapa Country Boy Rapa Country Boy amesema moja kati ya changamoto ambazo amezipitia wakati anarekodi album yake ya Yule Boy, ni Mama yake mzazi kusumbuliwa na maradhi ya kupooza mwili na kupoteza kumbukumbu. Read more about 'Kuna wakati Mamangu alinisahau' - Country Boy