Maamuzi mapya ya BASATA kwa Rosa Ree Picha ya msanii HipHop Rosa Ree Baraza la Sanaa la Taifa "BASATA" limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini Tanzania Rosa Ree ya kumfingia miezi 6, na kumruhusu kuendelea na shughuli zake za kisanaa. Read more about Maamuzi mapya ya BASATA kwa Rosa Ree