MO Dewji atoa ahadi nyingine Simba, Bocco aongea MO Dewji na John Bocco Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba Mwina Kaduguda, ameweka wazi kuwa mwekezaji wa klabu hiyo Mohammed Dewji ameahidi kuwapokesha Bajaj na Pikipiki mashabiki wa Simba ili waongeze kipato. Read more about MO Dewji atoa ahadi nyingine Simba, Bocco aongea