Waziri aagiza kubomolewa nyumba chakavu
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kisarawe kuiandikia barua TBA ya kuitaka kuvunja majengo chakavu na kujenga majengo mapya yatakayolingana na mabadiliko ya ukuaji wa Mji huo.