Aslay amkataa Tessy Chocolate "Haiwezekani"
Kupitia kipindi cha Friday Night Live "FNL" ya East Africa Tv kinachoruka kila siku ya ijumaa kuanzia 9:00 kamili usiku, msanii Aslay amefunguka uwezekano wa kurudiana mzazi mwenzie aitwaye Tessy Chocolate, pamoja na malezi ya mtoto wao.

