Shambulio lingine latokea Kenya, 6 wauawa Wanajeshi wa Kenya. Watu 6 wakiwemo wanaodaiwa kuwa ni Magaidi 2 wameuawa katika eneo la Saretho , Garissa, nchini Kenya baada ya Magaidi kujaribu kuvamia Kituo cha Polisi Daadab. Read more about Shambulio lingine latokea Kenya, 6 wauawa