Alichokifanya Mama yake Kabendera kabla hajafariki Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, amesema kabla ya kifo cha Mama Mzazi wa Mwandishi wa habari Erick Kabendera, Verdiana Mujwahuzi, alihudhuria Mahakamani mara 2, licha ya kuwa ni mgonjwa. Read more about Alichokifanya Mama yake Kabendera kabla hajafariki