Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sita akimkabidhi mashuka Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Kigogo
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Benjamini Sita amevipongeza vyama vya ushirika vilivyopo katika Halmashauri hiyo kwa kujitolea vifaa vya Hospitali katika Kituo Cha Afya cha Kigogo