Kilichoendelea leo kesi ya kutekwa kwa MO Dewji

Pichani ni eneo la tukio alilotekwa MO Dewji.

Upelelezi wa kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji MO, inayomkabili dereva taksi, Mousa Twaleb na wenzake watano raia wa kigeni ambao bado wanatafutwa, bado haujakamilika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS