Wenyeviti 220 watishia kuacha kazi kisa mihuri Baadhi ya wenyeviti wa Serikali za Mitaa ya Jiji la Dodoma Zaidi wenyeviti 220 wa mitaa ya halmashauri ya jiji la Dodoma wametishia kuachana na kazi hiyo kutokana na kukosa mihuri ya kufanyia kazi. Read more about Wenyeviti 220 watishia kuacha kazi kisa mihuri