Watoto 404 wafanyiwa ukatili Iringa

Kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019, Mkoa wa Iringa umekuwa na matukio takribani 404 ya vitendo vya ukatili wa kingono kwa watoto, ikiwa ni tatizo kubwa linalowakabili watoto katika malezi na makuzi yao nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS