Matapeli wauingilia msamaha wa JPM kwa wafungwa
Jeshi la Magereza nchini Tanzania, limetoa tahadhari kwa wananchi ambao ndugu zao bado wanatumikia vifungo magerezani, kujiepusha na matapeli wanaotumia mwanya wa msamaha wa Rais Magufuli kwenda kuwaomba pesa ili wawasaidie ndugu zao kuachiwa huru.