Mbunge CCM ataja siri ya Wabunge kuwa na vitambi
Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea amesema hakuna uhusiano wowote wa mtu kuwa Mbunge na kupata Kitambi, bali alichoeleza kinachotokea ni mabadiliko ya kawaida ya kimwili.