Dodoma : 75% ya wanaume wanaugonjwa wa Akili
Watu 230,000 wanatibiwa Magonjwa ya Akili kwa mwaka, katika Hospitali ya Afya ya akili ya Milembe ya jijini Dodoma, ambapo katika idadi hiyo kundi la wanaume ndiyo linaongoza kupatiwa matibabu ya ugonjwa huo.