Auawa baada ya kukataa kushiriki tendo la ndoa
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Anastazia Zacharia, amefariki Dunia baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mume wake, baada ya kumtaka wapime kwanza afya zao kabla ya kushiriki tendo la ndoa, kwani mume wake huyo hakuwepo nyumbani kwa muda wa mwezi mmoja.