Alichokisema Waziri baada ya Ndugulile kutenguliwa
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amemshukuru kwa ushirikiano wake aliokuwa akimpa, aliyewahi kuwa Naibu Waziri wake wa Afya, Dkt Faustine Ndugulile, aliyetenguliwa nafasi yake hiyo siku ya jana na Rais Magufuli.