Yanga na Simba zakwama Namungo FC Klabu ya Namungo FC imesema inapambana kuwabakiza wachezaji wao Bigilimana Blaize, Liliant Lusajo na Kocha Mkuu wa timu hiyo Hitimana Thierry, ambao wanahusishwa na kujiunga na klabu za Simba na Yanga. Read more about Yanga na Simba zakwama Namungo FC