Mwakyembe atekeleza agizo la JPM

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe.

Wizara ya Viwanda na Biashara imetekeleza agizo la Rais Magufuli la kuitaka Wizara hiyo kuhamishia chombo kinachosimamia Sanaa Tanzania (COSOTA) Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS